‘Cha kwanza kilikuwa ni wimbo wa Baraka The Prince kingine kuna mkataba tunausubiria kutoka Sony Music Africa ili aendelee kuisambaza album yake baada ya kusainiwa kwenye label hiyo, kingine kuna wimbo mpya unakuja wa Jux cha mwisho ni mimi kuleta kitabu changu ninakitoka mwezi wa sita ambacho kitakuwa kinahusika masuala ya utayarishaji wa muziki’– Bob Manecky
Source: Millard ayo