Mdogo wa Vanessa aliposikia dada yake katajwa kwenye list ya Makonda

 Mimi Mars msanii mgeni kwenye Bongofleva ambaye pia ni mdogo wa mwimbaji wa BongoFleva Vanessa Mdee ambapo ameongelea mengi kuanzia historia fupi ya maisha yake, Elimu, Utangazaji mpaka kwenye Bongofleva.

Pamoja na kuyazungumzia mengi pia amegusia ishu ya Dada yake Vanessa Mdee kutajwa kwenye List ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kwa tuhuma za kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya.

>>>”familia yetu imeuzunika maana tunajua hawezi kufanya vitu kama hivyo na wala hawezi kujihusisha na vitu kama hivyo na sikuangaika kumtumia message maana haikuwa kweli na akisingiziwa anaumia sana”;-Mimi Mars