Mastaa walivyojumuika na Khadija Mwanamboka kwenye siku ya wanawake

>>

Watu mbalimbali wamesherehekea siku ya wanawake duniani kwa namna tofauti ambapo mwanamitindo maarufu Tanzania Khadija Mwanamboka aliandaa hafla ndogo ya kukutana na malkia wengine kwaajili ya ku share habari ya kuchaguliwa kuwa balozi wa watoto wenye ulemavu wa kusikia pamoja na kuona kwa wakati mmoja kupitia shirika la Sense Organization.

Pia alitambulisha bidhaa zake mpya za urembo. Hapa nimekusogezea baadhi ya picha za ilivyokuwa mtu wangu>

 

 

SOURCE BY MILLARD AYO