Almando Mwirora – Machepere

Brand new la kufungia mwaka 2019 by Almando Mwirora, ngoma inakwenda kwa jina “Machepere” ikiwa ni mkono wa Mesen Selekta na Vocal + Mix by @Lickytouchez @noizmekah. Download Mp3 & Share na marafiki