Hussein Machozi ni mwimbaji kutoka kwenye bongofleva ambaye yupo kwenye list ya mastaa wa bongofleva wenye mapito mengi kwenye historia zao. Sasa hivi yupo nchini Italy lakini si kwa ajili ya muziki, AyoTV na millardaayo.com imezungumza naye na amesema yupo Italy anajihusisha na mchezo wa Ice Skat.
SOURCE BY MILLARD BY MILLARD AYO