Barnaba Ajutia Maamuzi Yake.

Barnaba hana mpango wa kujichora tena tattoo mwilini. Amesema kuwa haoni tena umuhimu wake.

“Kwa sasa mimi sina mpango kabisa wa kuchora tattoo tena,” amesema.

“Na ki ukweli hazina maana yeyote kwangu, kwangu naona kama fashion tu ingawa kuna wengine wanakuwa na maana yao na kuna wakati pia nakuwa najuta  na kuchukia pia hizi tattoo,” ameongeza Barnaba.

Source: Dizzim Online

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!