Eddy The Don ft Domokaya – Microphone (Audio)

Eddy the Don anakujia kwa hisani ya “New Way Music” na Northside Ent akiwa amemshirikisha “Domokaya” kwenye ngoma kwa jina “Microphone” ambayo ni production ya “Q The Don” akiwa pande za Chuga ndani ya @noizmekah studios