Taarifa iliyotolewa leo March 31 2017 na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai imeeleza kuwa Mbunge wa viti maalum CHADEMA, Dkt. Elly Marko Macha amefariki dunia leo katika hospitali ya New Cross, Walverhamton nchini Uingereza alikokuwa anapatiwa matibabu
Source: Millard ayo