Shedy Boy – Bora Nipumzike

Mpya toka kwa Shedy Boy baada ya kutamba na ngoma “Dhambi” sasa anakujia na ngoma ikiwa inakwenda kwa jina “Bora Nipumzike” chini ya mkono wa “J Floor & White” Producers toka Oldix media Moshi pande za Soweto. Kwa mawasilano zaidi/ Mahojiano na Shedy Boy” Cheki nae kupitia 0748 118 457 .Download Mp3 & Enjoy


Music CD Disc with Cover Icon Illustration Vecto