Mapokezi Ya Majeruhi Lucky Vincent.

Watanzania wamejitokeza kuwapokea manusura watatu wa ajali ya basi la wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Arusha wakitokea Marekani ambako walikuwa wanapatiwa matibabu. Ambapo wamewasili leo.

Source: Millard ayo

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!