Picha lilianzia kwenye group la Whatsapp linalomilikiwa na mwanadada mtangazaji mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Diva the Bawse ambapo kwenye group hilo mmoja wa mambers wake ni mwakilishi wa shirika la wambae duniani (SHILAWADU).
Imma The Boy alipoanza kumfungukia Linex kuwa hajamlipa pesa yake ambayo ilikuwa kama ada ya kumtengenezea ngoma ya “Kwahela”.
Ndipo Linex alipoanza kutoa mapovu na kudai kuwa yeye shobo hataki na timbwili likawa limeanzia hapo. Itazame hii video hapa chini kusikia mapovu hayo ya msanii na producer wake.
Story By: @Joplus_
Source: Perfect255.com