Neno kutoa povu limekuwa likitumika sana
kwenye mitandao ya kijamii, magazeti ya udaku na hata kwenye story za udaku katika vyombo vya habari.
Neno hilo limekuwa likisimama kama kushangazwa flani iv, kubanwa au kushikwa na butwa.
Kwa aliyekuwa Miss tanzania 2016/2017,
Wema Issac Sepetu ameamua kupitia acc yake ya Instagram kaweka picha hii na kuandika
“ Ninapoona Mapovu ya Watu on
Instagram…. Ndo navyochekaga mwenzenu….
Kicheko chenye dharau kwa mbaaaali lakini… When you smile with a lil contempt…. ”
huku maneneno hayo akiyaambatanisha na picha hiyo hapo juu.
Story By:@Joplus_
Source:Perfect255.com