JINSI NLIVYOKUTANA NA AIKA WA NAVY KENZO

Tunapohitaji kuzungumzia moja kati ya couples za mastaa wa kibongo zenye muonekano wa kupendeza kwenye macho ya mashabiki na jamii kwa ujumla,lazima utapata list ndefu yenye majina makubwa kama DAIMOND na ZARI au JUX na VANESSA na wengine kibao.

Ila moja kati ya Bombastic couple in town ni ya AIKA na NAHREEL kwa pamoja wanaitwa NAVY KENZO mara kadhaa tumemskia AIKA akielezea namna walivyokutana sasa kwa mara ya kwanza NAHREEL aeleza namna walivyo kutana yeye na mpenzi wake huyo,Nahreel aliongea hayo walipokua katika moja ya show za fiesta mara alipopata nafasi ya kuongea na wanafunzi huko bukoba.

“Aliwaambia wanafunzi, nilikutana naye shule, na mimi nikawaambia, na sasa tunatumia akili yetu ya shule kufanya mziki.
He told the students, i met her at college, and i said “now we use our education to handle music” Alisema AIKA
.@joplus_

Source: Raha za walimwengu