Ice Boy kuhusu kugombana na Barnaba….

Ni April 25, 2017 ambapo mkali Ice Boy amekaa na Ayo TV & millardayo.com kueleza kile kilikuwa kinaendelea mitandano kuhusu Kugombana na Barnaba.

‘Nilishawahi kukosana na Barnaba mbona hata Young Killer nilishawahi kukosana nae lakini Barnaba ni moja kati ya kaka zangu ninaowaheshimu ila kuna siku tu ndio watu walikuwa wana judge baada ya yeye kutopost kazi yangu mpya kwenye instagram yake ila yapo mengi yaliyotokea kabla ya hayo kipindi cha nyuma’- Ice Boy

 Source: Millard ayo