Alichokiandika Professor Jay baada ya ‘Kibabe’ kuchezwa KISS TV Kenya

Professor Jay licha ya kuwa mwanasiasa mahiri, lakini ni mmoja wa wasanii wenye heshima kubwa sana katika Hip Hop ya Tanzania ambaye amepata mafanikio makubwa kutokana na hit songs kadhaa.

Leo April 25, 2017 kupitia account yake ya Instagram Professor Jay amepost clip fupi ikiuonesha wimbo wake wa ‘Kibabe’ ambao unafanya vizuri ukipata nafasi ya kuchezwa kwenye KISS TV ya Kenya na kuyaandika haya: “Big shout out to @keepitkiss KISS TV (KENYA) for keeping it Real..”

 Source:Millard ayo