Msanii na hitmaker wa ngoma ya ‘Karorero’ Qboy Msafi amezungumzia usichokijua kuhusu urembo wa muda mrefu katika meno yake.
Akizungumzia meno yake Q boy amesema kuwa urembo huo ni wa kudumu tofauti na wengi walivyodhani kuwa ni wa kuweka na kutoa ” Meno yangu sio ya kuvua na kuvaa haya hayatoki” Alisema Qboy kupitia kipindi cha Mtaa wa pili ya Choise fm
Hata hivyo Qboy amekuwa ni miongoni mwa Wasanii wachache wachanga waliofanya vizuri ndani ya kipindi kifupi.
Source: Dizzim online