Drake ajichora tattoo ya Msanii Mwenzake

 

 

Drake huonesha mapenzi kwa watu anaowakubali kwa kujichora tattoo ya sura zao. Hadi sasa ameshajichora tattoo yenye sura za Sade na Aaliyah. Na sasa ameongeza nyingine ya bosi wake na mtu mwenye mchango mkubwa katika career yake, Lil Wayne.

Ni Lil Wayne ndiye aliyemsainisha Drake kwenye label ya Young Money pamoja na wasanii wengine akiwemo Nicki Minaj.

 

                                                                               Source: Dizzim online