Nandy x Billnass – Bugana

“Bugana” ni neno la kitaa ikimaanisha ‘pesa’ na ni ngoma ya kwanza kuvikutanisha hivi vichwa viwili “BillNass” akiwa na “Nandy” Hili goma ndio habari Mpya Town toka kwa “#BillNandy” video imeongozwa na Director Joowzey. Enjoy