DIAMOND AIZUNGUMZIA COLLABO YA MSANII WAKE “RICH MAVOKO” KUTOKA WCB.

Diamond ameongelea project inayofata ya
msanii wake kutoka WCB, Rich Mavoko.

diamondplatnumz-20161005-0001

Akizungumza kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Diamond amesema wimbo unaofata wa Rich Mavoko inawezekana ikawa collabo na msanii wa Nigeria au na yeye.

“Rich ni msanii ninaye mkubali na inawezekana wimbo unaofata kutoka kwakwe akawa amenishirikisha mimi au akawa amemshirikisha msanii kutoka Nigeria” Diamond ALIFUNGUKA.

richmavoko-20161005-0001

Pia muimbaji huyo wa ‘Salome’ amesema kuwa anavutiwa zaidi na uwezo wa uandishi wa mashairi wa Rich Mavoko.

Tazama Interview nzima hapa

Story By:@Joplus_

Source: Perfect255.com