Meneja wa RockStar 4000 Seven Mosha amethibitisha kuwa msanii wao The King Ali Kiba atafanya show kwenye usiku a Tuzo za MAMA ‘MTVAfrica Music Awards 2016‘.
Show Hii itafanyika 22, October, 2016.
Story by:@Joplus_
Source: Sam Misago.
[variable_1] has subscribed muzikizaidi [amount] minutes ago.