VideoMPYA: Maua Sama anatualika kuitazama hii mpya inaitwa ‘Main Chick’

Bongofleva inazidi kutupa madini mapya kila siku na Leo ni zamu ya Maua Sama ambaye ametuletea video yake mpya inaitwa ‘Main Chick’. plizzzzzz toaa commeeeent zako kwenye hiii ngomaaaaaa