Tutarajie mtoto kutoka kwa Barakah The Prince na Naj?

 kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram wa mwanamziki wa Bongo fleva Barakah the prince amewathibitishia mashabiki wake kwamba yuko karibuni kupata mtoto na mpenzi wa muda mrefu Naj.

Kupitia mtandao huo Barakah ameandika ” Tumeumbwa kuijaza dunia na hawa ma singa singa nakungoja mwana kwa ham” akamalizia kwa kumtag mpenzi wake huyo Naj.

 

source by:millard ayo