Mabibi na Mabwana msanii wa bongo fleva Baraka the Prince anawaalika kuitazama video yake mpya inayoitwa “Acha niende” ukimaliza kuitazama usiache kudondosha comment yako kuhusu mdundo huu ili baadae Baraka mwenyewe apite kuzisoma kwa pamoja…
Source: Millard ayo