Umelisikia Deni analodaiwa Mubenga na Mchina?

Leo  kupitia XXL ya Clouds FM mtangazaji Soudy Brown ametuletea U-heard ambayo inamuhusu Mubenga ambaye anadawa kutelekeza mzigo wa kofia China baada ya kushindwa kulipia gharama za ku-print.

Soudy Brown alipiga story na Mubenga ili kujua zaidi kuhusiana na hilo:>>>”Hapana sio kweli kwa sababu huyo mama wa kichina unayemzungumzia kuna oda niliitoa na ikaja kukamilika baadaye nikiwa nimesharudi Tanzania. Nilimzuia kwanza mpaka niumalize huu mzigo ndio ni-deal na huo.” – Mubenga.

Source: Millard ayo