Jambo Squad – Twende Pamoja

Mpya toka kwa Jambo Squad ngoma inaitwa #TwendePamoja ikiwa ni kusherehekea siku ya “Women’s Day” tarehe 8 Machi kila mwaka. Produced by @lickytouchez #NoizmekahStudios. Download Mp3 & Share na Marafiki