Chatta the Best ft Frank Memori – Mdala

Mhamvya Music presents mkono wake “Deon” wa DM Records Arusha na hapa anasikika Chatta the Best akiwa amemshirkisha Frank ”Memori” na ngoma inaitwa ”Mdala”, download Mp3 & share na Marafiki.