TID: Huwa Nahonga Fedha ili…

Watu Wamenitenga Isipokuwa Makonda
Msanii mkongwe kwenye gemu la bongo fleva amedai siku hizi inabidi uhonge fedha ili muziki wake upigwe redioni na yeye pia inabidi afanye hivyo
Amesema kuna nyimbo mbovu sana siku hizi ambazo zinapigwa redioni na kwenye Tv hadi zinapendwa kwa kuwa Ma DJ wanahongwa

Pia sasa hivi amedai watu wengi wamemtenga baada ya kuachana na madawa ya kulevya na kuwa karibu na Makonda

Source: Udakuspecially