Ayo TV imekutana na Staa kutoka Bongoflevani Baraka Da Prince ambaye ni mpenzi wa mrembo Naj, na kuelezea baadhi ya Headlines ambazo zinasamba kwenye socia network kuhusiana na mpenzi wake kuwa mjamzito, Baraka Da Prince anatupa Exculusive kupitia Ayo TV.
‘Kuhusiana na taarifa za Naj kuwa mjamzito kusema ukweli mimi siwezi nikaliongelea hilo yaani bado mapema sana alafu kuhusiana na ndoa kinaweza kikafanyika kitu kwasababu mimi na Naj tunaishi pamoja alafu mimi namchukulia Naj kamamke wangu kwa sasa‘ Baraka Da Prince
Source: Millard ayo