Godzila kafunguka kuhusiana na bifu yake na Billnass

Godzilla ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa kutoka kwenye game ya muziki kutoka Bongoflevani, stori ambazo zipo kwenye social network ni kuwa Godzilla ana bifu na mkali Bilnass, June 9 2016 Ayo TV na millardayo.com ilipata time yakupiga stori  na Godzila na kafunguka kuhusiana na bifu hiyo.

kitukimoja kuhusiana na muziki ni kufanya nmuziki kwa bidii na haiko sawa kumuongelea mtu mwingine mambo ya kwenye mitandao na mimi ni tofauti, hii ni busness atakayefika atafika unajua Bob Marley alisema Time wil tell’>>>Godzilla

Source: Millard ayo