Sababu zinazowafanya Model wengi kunyoa nywele zao

Kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO Leo March 21 2017 tupo na Mwanamitindo, Miriam Odemba ambaye amepiga story nyingi na Asteria Mvungi na katika maswali aliyojibu ni pamoja na kwanini models wengi wananyoa nywele?.. Sababu za kuolewa na mzungu  na mambo mengine mengi.

               Source:Millard ayo