Boblim – Mediocre (Refix)

Hii hapa Refix ya ngoma “Mediocre” by Boblim ikiwa ni chuga version ya original ilofanywa na Bongo Flava star “Alikiba” Enjoy hii Refix by “Boblim” produced by @Lickytouchez, Stream the cover video and download the Mp3 & share all over kwa ndugu jamaa na marafiki.