Post ya Idriss Sultani Kuhusu Jokate Mwegelo

Zilizojitokeza Leo March 12 2017 kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na post za mastaa na moja ya post nilizopenda zisikupite ni hii ya Idriss Sulutani ambapo amempongeza Jokate Mwegelo kutokana na mchango mkubwa katika jamii baada ya kutumia Brand yake kuitumikia jamiii na kubadilisha maisha ya vijana wengi.

SOURCE BY MILLARD AYO