R.Kelly kaurudia wimbo wa ‘If’ wa Davido,

Sio jambo la kawaida kwa Msanii wa Afrika kutoa wimbo alafu ukarudiwa na Mwimbaji wa Marekani ambapo kwa miaka mingi ilionekana Waafrika ndio wanadata na miondoko ya Wamarekani lakini kadri time inavyosogea Wamarekani ndio wanaisogelea Afrika.

Robert Kelly (50 yrs) akiwa ni Mkongwe mwenye vyeo vyake kwenye muziki wa dunia, ameufanya mwaka 2017 kuwa wa kumbukumbu zaidi kwa Davido na Afrika yenyewe baada ya kuurudia wimbo wa Davido uitwao ‘IF‘

Hii ngoma inawezekana ikawa imewashika wengi tu wa Marekani kwani hata Omarion pia alishajirekodi video akiimba ‘IF’,

Davido alionyesha kufurahishwa na kitendo cha R. Kelly kurudia ngoma yake ambapo alionyesha furaha yake kwenye Instagram na kuandika ‘baki na utamaduni wako, watakuja’.

Source: Millard ayo