Baraka da Prince kuja na colabo na Cassper Nyovest na Patoranking

Tegemea ujio wa collabo za  kimataifa za Baraka da Prince na rapper mkali wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest na Staa wa Nigeria,  Patoranking.

“Kuna my new song inakuja very soon nimefanya na Cassper Nyovest,” Baraka da Prince alikiambia kipindi cha Flavour Express cha Maisha FM “Kuna wimbo tumefanya na Patoranking . Kwahiyo nyimbo zinakuja nyingi but collaboration nyingi zitapatikana kwenye albamu yangu ambayo inatoka mwaka huu,”

Baraka da Prince pia ameahidi ujio wa Album yake ya kwanza mwaka huu.

SOURCE: TEENTZ