Weasel wa Uganda
Kundi la wasanii wa Uganda la Radio na Weasel wamemshirikisha Rapper mkongwe wa Marekani kwenye remix ya Hit song yao ‘Plenty Plenty’
“Shhhh Let The Music Speak #PlentyPlenty Remix Dropping soon. Blessup @bet_africa @snooplion@snoopdogg @thulilegama.” Wameandika kwenye page yao ya Instagram
Huo utakuwa wimbo wa kwanza kwa wasanii wa Uganda kumshirikisha msanii mkubwa wa Marekani.
SOURCE BY:TEENTZ