Mabibi na Mabwana ni Rayvanny tena.. katuletea Video Mpya Inaitwa ‘zezeta’

Mwimbaji kutoka WCB Rayvanny amerudi kwenye TV na hii video mpya inaitwa ‘zezeta’ ambayo video yake haijafanyika hapa Tanzania…

Source: Millard ayo