Kitendo hicho kilisababisha mwanamke huyo kukamatwa na kuwekwa mahabusu akiwa na mtoto mchanga mwenye umri wa miezi miwili. Mwanamke anadaiwa kuificha hati ya nyumba baada ya mumewe kuanza kuhamisha vitu vya ndani na kupeleka kwa mke wa pili.
Source: Millard ayo