Baraka The Prince amponda Ben Pol

                                            

Baada ya Mwimbaji Ben Pol kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Darassa, wimbo ambao alianza ku-promote ujio wake kwa kupost picha akiwa bila nguo, kumekua na mapokezi ya tofautitofauti kutoka kwa watu mbalimbali kutokana na picha hizo alizozitanguliza.

Baada ya kuusikia wimbo huo, Mwimbaji Baraka The Prince ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika masikitiko yake >>>Nimekuwa disappointed sana huu wimbo… kwa jamaaa alivyojitoa nilidhani ni kitu kikubwa kumbe upumbavu’

Source: Millard ayo