“Mirror alikuwa mtoto mtukutu alikuwa haambiliki”-Wema Sepetu

U heard  inamuhusu msanii wa Bongo Fleva Mirror ambapo inadaiwa alitengwa na kampuni ya Endles Fame iliyokuwa inasimamia kazi zake za muziki baada ya kupata ajali na kuumia Mguu mpaka alipopona.

Soudy Brown kazungumza na Wema Sepetu ambapo majibu yake yalikuwa haya…>>>”No hapana hakuna kitu kama hicho, Mirror kuna vitu alizingua yeye kama yeye, ikabidi mimi nisitishe vitu nilivyokuwa navifanya na nikamuachia Petit money asimamie kwahiyo vitu vyote muulizeni petit money, Mirror alikuwa mtoto mtukutu alikuwa haambiliki”

Source: Millard ayo

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi