Miaka 15 ya Q Chilla kwenye game ya Bongofleva

Mkali kutoka Bongoflevani Qchilla usiku wa Kuamkia May 1 2017 alikuwa anatimiza miaka 15 kwenye game ya Bongofleva ambapo aliwakutanisha mashabiki wake na Mastaa mbalimbali kwenye stage moja DSM. It wass sooo gooooooddddd………………..

                                                       Source: Millard ayo

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!