Meneja wa Manchester United alitimuliwa na refa Craig Pawson

Jose Mourinho hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kutimuliwa uwanjani wakati wa mechi kati ya Manchester United Siku ya Jumamosi.

Meneja huyo na Manchester United alitimuliwa na refa Craig Pawson, kwa kuingia uwanjani wakati wa mechi ambayo Man U walishida kwa bao 1-0.

Baada ya kupokea ripoti ya refa, shirikisho la kandanda barani Ulaya la FA, liliamua kuwa halitachukua hatua zaidi dhidi yake.

Mourinho alipigwa marufuku mara mbili na shirikisho la FA msimu uliopita

story@moodyhamza