Mary J Blige Amekataa Kolabo Yangu.

Pink amedai kuwa Mary J Blige alikataa kufanya naye collabo. Kwenye mahojiano na ‘Morning Mashup’, Pink alifunguka kuwa alikuwa na hamu ya kufanya kazi na Mary lakini malkia huyo wa hip hop soul alimtolea nje.

Alisema:

I went in her trailer a long time ago, I think it was when I hosted the Lady of Soul Train, or Soul Train Awards. I walked into her trailer and I was like, ‘Hi! Would you ever work with me?’ She just took one look at me and she goes, ‘No.’ I go, ‘Okay. I love you, Mary. I’ll see you again.’”

Mary bado hajajibu kauli hiyo ya Pink.

Source: Dizzim Online.