Magga V ft Chaliijambo – Umenikarabati (Video)

MaggaV ni jina maarufu kwa sanaa ya muziki wa kizazi kipya pande za Olmatejoo mkoani Arusha na hapa anakuja akishirikiana na @chaliijambo toka #JamboSquad wakimwambia mtoto mzuri “Umenikarabati”