Mwanamke Mwingine Huyu Nimezaa Na Diamond.


Drama mpya kwenye mtandao wa Instagram Tanzania imeibuka 9/21/2017 baada ya mwanamke anayejiita Miss Burundi 2012 #HoneyJesca kusema watoto wake mapacha ni watoto wa msanii wa Bongo Fleva DIAMOND PLATNUMZ,

Kwa mujibu wa Hizi Post zake na maneno yake anasema alijifungua watoto hawa mwaka 2013.

Post ya Kwanza Jesca anasema >>“Abo ni batoto ma pacha nilizalaka na @diamondplatnumz toka 2013 mupaka leo tulikutanaga nae wakati alikuyaka kwetu burundi kwa ajili ya kuimba ndipo alipo nionaga na kumtuma kijana aitwae #mafya ila tokea hapo hajawai kunipatiya huduma yoyote mupaka leo nakama haamini nipo tayari tuende kupima DNA japokuwa kuko batu benye banazania miye natafuta kiki no no no but nipo serious kwa hili na ukweli haujifichi pls @diamondplatnumz nimelea toka mwanzo now nataka ukuye ubakamate na aba ba mapasa ubaleye nimechoka“

Post ya Pili Jesca anasema >>@zarithebosslady Umejitaidi mpaka umefanikiwa kuhack account yangu ambayo ilikuwa na followers 450K
Saaa ulikuwa unaogopa nisikuumbuwe nataka niweke wazi ukweli woote wewe ni mganda na mimi ni mrundi halisi kujuwana mimi na wewe isiwe tabu

1. Mimi toka nilipo zaa na @diamondplatnumz toka mwaka 2013 mpaka leo hajawai hata kutowa shilingi100 ya kumnunuliya hata mtoto sukari ila nina mlea mtoto wangu bila kumtegemea mtu yoyote
2. Mimi nina miaka 24 ila wewe una miaka 46 na ukikataa nitapost photocopy ya passport yako ninayo
3. Wewe uliniporaga #diamond wakati ulikuwa unajuwa ni shemeji yako na mimi nikiwa kama your best friend ila tamaa zikakufanya unigieuke

Saaa leo nataka niweke ukweli woote kwa maana mimi ninakujuwa kuliko baba yako mzazi

Naomba watu woote mjuwe kuwa @zarithebosslady hana kitu chochote kila ni mwanamke aliyejaa tamaa saana akiendaga uganda anaenda sehem moja inaitwa kabaragara anakodisha magari ya kifahari alafu wana tengeneza bati lipo kama pleti number linaandikwa jina lake alafu anapiga nayo foto shoot

Hivi hamujiulizi swali?

1. Huyo zari anavyopendaga sifa za pic kibao
Kuna siku ameshagaonyesha hata check ya 100$? 2. Angekuwa ana pesa kwa nini ashindwe kujenga kaburi ya mama yake mzazi?

@zarithebosslady ulipo onaga #diamondkanitelekeza na mtoto huku burundi ulinichekaga saaana sasa why leo unaumia kumuona #diamond amezaa na @hamisamobetto? Mimi ni mtoto wa kirundi nataka nikupe adabu

Source: Udaku.