Siddy Ze Boi – Bado Shombo (Video)

Kutana na CEO wa Dankers Entertainment.. Siddy ze Boi, aka Trap Rockstar na round hii anadrop Official Video ya Ngoma Ya #BadoShombo ikiwa ni muundo wa Trap chini ya mkono wa @defxtro pande za @Noizmekah studios. Visuals zimeletwa kwako kwa ubunifu wa Director Lucca Swahili. ENJOY