Ndoa ya Meneja wa Diamond yadaiwa kuingia kwenye mgogoro

Ndoa ya meneja wa mwimbaji Diamond PlatnumzBabu Tale imedaiwa kuingia kwenye mgogoro baada ya mke wake kucomment maneno makali kwenye post ya meneja huyo ambapo baadae Babu Tale aliyafuta.

Katika post hiyo Babu Tale alipost picha akiwa na mke wake huyo na kuandika …..>>>“Utajiri mzuri wa familia nasfi zikiwa zenye furaha”

Ndipo mke wa Babu Tale alipoamua kucoment…. “mtu yeyote mwenye hisia za kimapenzi na huyu mwanaume upo huru kumfuata, maana akiharibu anakimbilia instagram kujitakasa, hana lolote, umaarufu unakulevya, fanya maamuzi ya kiume ……

source; millard ayo