Tunda Man ajibu kuhusu kudaiwa kushikiwa kisu na mapromota

Mkali wa muziki wa bongo Fleva Tunda Man anayedaiwa kutolewa kisu na mapromota chupuchupu kupigana nao kisa alidaiwa laki moja aliyopewa na Promoter kwa ajili ya mafuta na baada ya show promoter atarudishiwa hela yake.

Soudy Brown amezungumza na Tunda man na haya ndio yalikuwa majibu yake…..>>>Ugomvi wa nini tena…? mimi sijashikiwa kisu wala sijashika hizo hela na mimi nilienda kule na wife kwa sababu ya spending zangu tu na jamaa walinifata kule kule kwamba sisi tuna show yetu  nje kidogo ya Zanzibar na nikaenda pale nika perform na nikaondoka, Sikudai hata sh 10 wala hizo hela sikushika nasikuwaona tena”-Tunda Man      

  source by millard ayo