Jim Jones ft Maino & Drama – My Era (Video)

Rapper Jim jones toka Dipset aka the diplomats anakujia na Video ya “My Era” ndani akionekana Maino aliyewahi kutamba na Hit Song yake enzi hizo na Muimbaji TPain.. Check out the Visuals za My Era na uendelee Kusupport Hip-Hop