Kilichoandikwa na Idriss, Rama Dee & Nikk wa Pili baada ya Ruge kuzungumza

  Baada ya vyombo vya habari Tanzania kuungana  kufuatia issue ya RC Makonda kuingia katika Ofisi za Clouds Media Group akiwa na askari wenye silaha, wasanii mbalimbali wameichukulia issue hiyo kama funzo kwa wasanii ambapo baadhi yao walilipeleka kwenye social networks.

Rama Dee, Idriss Sultan na Nikki wa Pili walipost haya>>>“Wasanii mmeona umoja wa vyombo vya habari??? Ameguswa clouds wote wameungana kaguswa Vanessa Mdee wote mmekimbia! Hata kwenye page zenu basi kuonyesha kuwa mliguswa 🙄
Huu ni mfano mzuri sana kwa Wasanii”:- Rama Dee

Source:Millard ayo