Ni kweli nimejiuzulu kwasababu nataka nipate muda mwingi wa kuhudumia jimbo langu, nimejikuta nakuwa bize sana na kamati hivyo kusababisha kushindwa kushiriki vikao vya jimbo‘
Ni kweli amejiuzulu kwa shinikizo baada ya kudaiwa Serikali imeingilia madaraka ya bunge? Kafumu amesema..>>>’Hakuna shinikizo kama hilo bali nimeamua mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kunishinikiza kuendelea au kubaki katika nafasi hiyo‘
                                         Source: Millard ayo